Ufafanuzi wa tahasusi katika Kiswahili

tahasusi

nominoPlural tahasusi

  • 1

    masomo au kozi anazoweza kusomea mwanafunzi anapokuwa shuleni au chuoni, k.m. Kiswahili, Historia na Fasihi.

Asili

Kar

Matamshi

tahasusi

/tahasusi/