Ufafanuzi wa taiga katika Kiswahili

taiga

nominoPlural taiga

  • 1

    mnyama mkubwa jamii ya paka, mwenye milia na rangi ya manjano-hudhurungi, ambaye ni mkubwa zaidi kuliko paka wote na anapatikana hasa nchi za Asia.

  • 2

    simba milia; simba wa Bara Hindi.

Asili

Kng

Matamshi

taiga

/tajiga/