Ufafanuzi wa taiti katika Kiswahili

taiti

nominoPlural taiti

  • 1

    nguo ya kike inayobana sawasawa na mwili.

Asili

Kng

Matamshi

taiti

/taIti/