Ufafanuzi wa tajamala katika Kiswahili

tajamala

nominoPlural tajamala

  • 1

    kitu ambacho mtu anafikiriwa kupewa kama msaada kutokana na hali yake au sifa yake.

    hisani, fadhili

  • 2

    upendeleo

Asili

Kar

Matamshi

tajamala

/taʄamala/