Ufafanuzi wa taji katika Kiswahili

taji

nominoPlural maji

  • 1

    vazi la kichwani linalovaliwa na mfalme au malkia.

    tiara

  • 2

    ubingwa aliopata mtu au timu katika michezo au katika mashindano.

Asili

Kar

Matamshi

taji

/taʄi/