Ufafanuzi wa tajirisha katika Kiswahili

tajirisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

  • 1

    -pa mtu mali ya kutosha.

  • 2

    -pa mtu maarifa ya kutosha.

Matamshi

tajirisha

/taʄiri∫a/