Ufafanuzi wa tajuwidi katika Kiswahili

tajuwidi

nominoPlural tajuwidi

Kidini
  • 1

    Kidini
    usomaji mzuri wa Kurani kufuatana na kanuni zake.

    ‘Soma tajuwidi’

Asili

Kar

Matamshi

tajuwidi

/taʄuwidi/