Ufafanuzi msingi wa takata katika Kiswahili

: takata1takata2

takata1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~iana, ~iwa, ~wa

  • 1

    kuwa safi.

    ‘Nguo zimetakata’

Matamshi

takata

/takata/

Ufafanuzi msingi wa takata katika Kiswahili

: takata1takata2

takata2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~ana, ~iana, ~iwa, ~wa

  • 1

    tandaza komwe katika mchezo wa bao ili kuweza kuja kula baada ya kukosa mtaji.

Matamshi

takata

/takata/