Ufafanuzi msingi wa takrima katika Kiswahili

: takrima1takrima2

takrima1

nominoPlural takrima

  • 1

    mapokezi mema ya kumshughulikia mgeni; wema anaofanyiwa mgeni katika mapokezi na mwenyeji wake.

  • 2

    shughuli ya furaha.

Matamshi

takrima

/takrima/

Ufafanuzi msingi wa takrima katika Kiswahili

: takrima1takrima2

takrima2

nominoPlural takrima

Asili

Kar

Matamshi

takrima

/takrima/