Ufafanuzi wa taksiri katika Kiswahili

taksiri

nominoPlural taksiri

  • 1

    hali ya kutokamilika.

    upungufu, dosari, ila, kasoro

Asili

Kar

Matamshi

taksiri

/taksiri/