Ufafanuzi wa takwa katika Kiswahili

takwa

nominoPlural takwa

Kidini
  • 1

    Kidini
    hali ya kufuata amri za Mwenyezi Mungu na kujiepusha na dhambi.

Matamshi

takwa

/takwa/