Ufafanuzi wa talibisi katika Kiswahili

talibisi

nominoPlural matalibisi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    makanda yanayoshonwa kama jamvi ambayo hufungwa kwenye mbavu za chombo cha majini ili kuzuia maji yasiingie.

Asili

Kar

Matamshi

talibisi

/talibisi/