Ufafanuzi msingi wa taliki katika Kiswahili

: taliki1taliki2

taliki1

kitenzi elekezi

  • 1

    toa talaka.

    acha, koma

Asili

Kar

Matamshi

taliki

/taliki/

Ufafanuzi msingi wa taliki katika Kiswahili

: taliki1taliki2

taliki2

nomino

  • 1

    kamba inayotumika kuinulia mizigo au kupandishia tanga.

Matamshi

taliki

/taliki/