Ufafanuzi wa tambika katika Kiswahili

tambika

kitenzi elekezi

  • 1

    tekeleza ada maalumu ili kutuliza mizimu, koma au pepo.

  • 2

    hasa

Matamshi

tambika

/tambika/