Ufafanuzi wa tambiko katika Kiswahili

tambiko

nominoPlural matambiko

  • 1

    utekelezaji wa ada maalumu ili kutuliza mizimu, koma au pepo.

    sadaka, edaha, kafara, mviga, mviko

Matamshi

tambiko

/tambikɔ/