Ufafanuzi wa tangalachi katika Kiswahili

tangalachi

nominoPlural tangalachi

  • 1

    mkeka unaotengenezwa kwa ukindu bila ya rangi yoyote, agh. hutumika kwa kuzikia.

Matamshi

tangalachi

/tangalatʃi/