Ufafanuzi wa tanua katika Kiswahili

tanua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

  • 1

    vuta huku na huku ili kuongeza nafasi.

  • 2

    tutumua kitu ili kuongeza nafasi.

Matamshi

tanua

/tanuwa/