Ufafanuzi wa tanzuka katika Kiswahili

tanzuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ondokana na kikwazo, kifungo au ugumu katika kutenda jambo.

  • 2

    isha kwa mvua na utusitusi uliosababishwa na mawingu.

Matamshi

tanzuka

/tanzuka/