Ufafanuzi wa tapakaza katika Kiswahili

tapakaza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    eneza vitu au habari mahali pengi.

Matamshi

tapakaza

/tapakaza/