Ufafanuzi wa taradadi katika Kiswahili

taradadi

kitenzi sielekezi

  • 1

    shughulika au hangaikahangaika kwa ajili ya jambo fulani; sitasita.

Asili

Kar

Matamshi

taradadi

/taradadi/