Ufafanuzi wa tarakanya katika Kiswahili

tarakanya

kitenzi elekezi

  • 1

    vuruga jambo au mazungumzo, agh. kwa kutia fujo.

  • 2

    sema harakaharaka na kuchanganya maelezo yasipate kufahamika.

Matamshi

tarakanya

/tarakaɲa/