Ufafanuzi wa tashbihi katika Kiswahili

tashbihi, tashibiha

nominoPlural tashbihi

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    usemi wa ufananisho au mlinganisho wa vitu viwili au zaidi kwa kutumia maneno k.v. ‘kama’ k.m. ‘Ukweli ni kama msumeno’.

Asili

Kar

Matamshi

tashbihi

/ta∫bihi/