Ufafanuzi wa tashtiti katika Kiswahili

tashtiti, tashititi

nominoPlural tashtiti

  • 1

    mshikilio wa jambo kwa kuchagiza mtu.

    chagizo, kero

Asili

Kar

Matamshi

tashtiti

/ta∫titi/