Ufafanuzi wa tasnia katika Kiswahili

tasnia

nominoPlural tasnia

  • 1

    shughuli ya kibiashara yenye kutoa huduma k.v. utalii au usafirishaji.

    ‘Zanzibar iko mbioni kuendeleza tasnia ya utalii’

Asili

Kar

Matamshi

tasnia

/tasnija/