Ufafanuzi msingi wa tatua katika Kiswahili

: tatua1tatua2

tatua1

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~za

 • 1

  ondoa pingamizi.

  futu

 • 2

  fungua kitu kilichojifungafunga.

Matamshi

tatua

/tatuwa/

Ufafanuzi msingi wa tatua katika Kiswahili

: tatua1tatua2

tatua2

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~za

 • 1

  pasua kitu k.v. nguo au karatasi.

Matamshi

tatua

/tatuwa/