Ufafanuzi wa tayu katika Kiswahili

tayu

nominoPlural tayu

  • 1

    kifaa kitumiwacho kupimia uzito.

    mizani

Matamshi

tayu

/taju/