Ufafanuzi wa tega! katika Kiswahili

tega!

kitenzi sielekezi

  • 1

    kutoa kitendawili kwa hadhira ili kiweze kutolewa maana; kitendawili!.

Matamshi

tega!

/tɛga/