Ufafanuzi wa tegea katika Kiswahili

tegea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    weka kikwazo ili kuangusha kitu kinachokwenda.

  • 2

    epa kufanya kazi.

Matamshi

tegea

/tɛgɛja/