Ufafanuzi msingi wa tego katika Kiswahili

: tego1tego2

tego1

nominoPlural tego

  • 1

    ugonjwa wa sehemu za siri unaoaminiwa kuwa unatokana na kutembea na mke wa mtu.

Matamshi

tego

/tɛgɔ/

Ufafanuzi msingi wa tego katika Kiswahili

: tego1tego2

tego2

nominoPlural tego

  • 1

    kipande cha ubao kinachotumiwa na ngariba anapotahiri.

Matamshi

tego

/tɛgɔ/