Ufafanuzi wa teketea katika Kiswahili

teketea

kitenzi sielekezi~za

 • 1

  ungua kwa moto na kuisha kabisa.

  chomeka

 • 2

  haribika kabisa.

  ‘Watu wengi waliteketea katika ajali ya moto’
  angamia

Matamshi

teketea

/tɛkɛtɛja/