Ufafanuzi msingi wa tele katika Kiswahili

: tele1tele2

tele1

kivumishi

 • 1

  -enye kuenea kwa wingi; -enye kujaa.

  -ingi, kemkemu

Matamshi

tele

/tɛlɛ/

Ufafanuzi msingi wa tele katika Kiswahili

: tele1tele2

tele2

kielezi

 • 1

  mpaka juu.

  ‘Jaa tele’
  mno, ndi, mzo, nomi, foko, chekwa, pomoni, belele, chakari

Matamshi

tele

/tɛlɛ/