Ufafanuzi wa tengeneza katika Kiswahili

tengeneza

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~wa

  • 1

    fanya kitu kwa kutumia madini, mbao, n.k..

    fanya, unda

  • 2

    fanya kitu au jambo lililoharibika lifae au liwe sawa tena.

    amili

Matamshi

tengeneza

/tɛngɛnɛza/