Ufafanuzi wa tesa katika Kiswahili

tesa

kitenzi elekezi

  • 1

    tia kiumbe maumivu au machungu kwa muda mrefu.

    adhibu, taabisha, dhulumu, chambisha, thakilisha

Matamshi

tesa

/tɛsa/