Ufafanuzi wa tetekuwanga katika Kiswahili

tetekuwanga

nominoPlural tetekuwanga

  • 1

    mapele yanayoambatana na homa kali yanayofanana na ndui na huambukiza, agh. watoto.

    tetemaji, galagala

Matamshi

tetekuwanga

/tɛtɛkuwanga/