Ufafanuzi wa thawabu katika Kiswahili

thawabu

nominoPlural thawabu

Kidini
  • 1

    Kidini
    malipo mema anayopata mtu kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa ajili ya kutii amri zake.

    jaza

Asili

Kar

Matamshi

thawabu

/θawabu/