Ufafanuzi wa tiba asili katika Kiswahili

tiba asili

  • 1

    matibabu na dawa za kiasili zinazotumia maji, majani, miti, mimea, mizizi, mitishamba, maua, udongo, mawe, viungo vya vyakula, n.k. bila kutumia kemikali.