Ufafanuzi wa timtimu katika Kiswahili

timtimu

kivumishi

  • 1

    -siokuwa na mpango mzuri.

    ‘Amekuja hapa nywele timtimu’

Matamshi

timtimu

/timtimu/