Ufafanuzi wa tindikiwa katika Kiswahili

tindikiwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na idadi ndogo ya vitu au bidhaa isiyokidhi mahitaji; pungukiwa na kitu.

Matamshi

tindikiwa

/tindikiwa/