Ufafanuzi msingi wa titima katika Kiswahili

: titima1titima2

titima1

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa sauti yenye mngurumo kwa ndanindani k.v. kwenye volkano au maji yanayochemka kwenye jungu kubwa lililofunikwa.

    rindima

Matamshi

titima

/titima/

Ufafanuzi msingi wa titima katika Kiswahili

: titima1titima2

titima2

kitenzi sielekezi

Matamshi

titima

/titima/