Ufafanuzi wa tochi katika Kiswahili

tochi

nomino

  • 1

    kifaa cha bati au plastiki chenye globu na kioo mbele kinachotoa mwanga kwa kutumia betri.

    kurunzi

Asili

Kng

Matamshi

tochi

/totʃi/