Ufafanuzi msingi wa tofauti katika Kiswahili

: tofauti1tofauti2

tofauti1

nominoPlural tofauti

 • 1

  hali ya kutofanana.

  ‘Kuna tofauti baina ya mtu na mnyama’
  hitilafu, halafu

Matamshi

tofauti

/tɔfawuti/

Ufafanuzi msingi wa tofauti katika Kiswahili

: tofauti1tofauti2

tofauti2

kielezi

 • 1

  -lio na hali isiyofanana na.

  ‘Shati hili ni tofauti na mengine’
  hitilafu, mbalimbali

Asili

Kar

Matamshi

tofauti

/tɔfawuti/