Ufafanuzi wa tofautiana katika Kiswahili

tofautiana

kitenzi sielekezi

  • 1

    kutofanana kwa vitu viwili au zaidi.

  • 2

    kutokuwa na mawazo au msimamo wa aina moja.

    farakana, hitilafiana, tengana

Asili

Kar

Matamshi

tofautiana

/tɔfautiana/