Ufafanuzi wa tofautisha katika Kiswahili

tofautisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    onyesha au taja sifa zinazofanya vitu viwili au zaidi visiwe sawa.

  • 2

    onyesha tofauti ya vitu.

    bainisha, dhihirisha

Asili

Kar

Matamshi

tofautisha

/tɔfauti∫a/