Ufafanuzi wa toga katika Kiswahili

toga

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  toboa tundu katika sehemu ya mwili k.v. sikio, mdomo au pua, kwa ajili ya urembo.

  ‘Toga ndonya’
  ‘Toga sikio’
  ‘Toga mapete’
  dunga

Matamshi

toga

/tɔga/