Ufafanuzi wa tohe katika Kiswahili

tohe

nomino

  • 1

    mnyama wa porini wa jamii ya kulungu na paa.

Matamshi

tohe

/tɔhɛ/