Ufafanuzi wa toja katika Kiswahili

toja

kitenzi elekezi

  • 1

    tia alama ya korosho au chale ili kuremba ngozi.

    chanja

Matamshi

toja

/tɔʄa/