Ufafanuzi wa tokomea katika Kiswahili

tokomea

kitenzi sielekezi

  • 1

    -enda mahali pasipojulikana bila ya taarifa.

    toweka, yoyoma, vogomea, nyea

Matamshi

tokomea

/tɔkɔmɛja/