Ufafanuzi wa tokomire katika Kiswahili

tokomire

nominoPlural tokomire

  • 1

    ngoma ya Wazaramo inayochezwa kwa vigongo, kama vile ngoma ya dandalo.

Matamshi

tokomire

/tɔkɔmirɛ/