Ufafanuzi msingi wa tonga katika Kiswahili

: tonga1tonga2

tonga1

nomino

  • 1

    tunda la jamii ya bungo lakini kubwa kidogo, lenye ganda gumu la rangi ya njano iliyofifia.

Matamshi

tonga

/tɔnga/

Ufafanuzi msingi wa tonga katika Kiswahili

: tonga1tonga2

tonga2

nomino

  • 1

    ukubwa wa nazi au dafu.

Matamshi

tonga

/tɔnga/