Ufafanuzi wa tonge katika Kiswahili

tonge

nominoPlural matonge

  • 1

    mmego wa chakula k.v. ugali uliokatwa au wali uliomegwa kwa mkono.

Matamshi

tonge

/tɔngɛ/